
Eeh bwana Wee Meridianbet wanakuambia leo haufungui zawadi tu bali una nafasi ya kushinda mkwanja pia, Kwani leo itapigwa michezo mbalimbali kunako ligi kuu ya Uingereza ambayo inaweza kutoa fursa ya kujipigia mkwanja kwa mteja wa Meridianbet.
Michezo mbalimbali ambayo inakwenda kupigwa katika ligi kuu ya Uingereza leo Disemba 26 siku ya kufungua zawadi yote imepewa ODDS KUBWA ambapo sasa wewe mteja wa Meridianbet kazi imebaki kwako kuweka mkeka wako, Kwani nafasi ya kufungua zawadi na kushinda mkwanja ipo wazi kabisa.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
Klabu ya Newcastle baada ya kupoteza mchezo siku ya Jumamosi dhidi ya Luton Town leo watakua nyumbani katika dimba la St. James Park kuhakikisha wanarudi kwenye njia ya ushindi wakiikaribisha klabu ya Nottingham Forest.
Liverpool baada ya kubanwa mbavu katika michezo miwili mfululizo kwa kupata sare wakiwa nyumbani leo watasafiri na kwenda ugenini kukipiga na vijana wa kocha Vicent Kompany klabu ya Burnley ambapo watakua wakipambana kuzipata alama tatu muhimu.
Bournamouth wakiwa kwenye fomu nzuri ambapo wametoka kushinda michezo miwili mfululizo na mchezo mmoja ni ule walioitandika Man United mabao matatu kwa bila leo watakua pale Vitality katika uwanja wao wqa nyumbani kuikaribisha klabu ya Fulham.
Manchester United ikiwa haipo kwenye mwenendo mzuri wa matokeo leo wanakwenda kukabiliana na moja ya timu bora kwasasa kwenye ligi kuu ya Uingereza klabu ya Aston Villa, Man United watahitaji kulinda rekodi yao ya kutopoteza mchezo katika siku ya Boxing day ambayo imedumu tangu mwaka 2015.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee
ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.