×

Kijana Atumia Mkopo Wa Chuo Kufanya Biashara Ya Vitenge – Video


Wakati wanavyuo wengi wakilalamika kwamba fedha za kujikimu (boom) wanazopewa hazitoshi, hali ni tofauti kwa kijana Swahaba.

Kijana huyu ametoboa kimaisha, anamiliki maduka kadhaa ya kuuza bidhaa mbalimbali, ambapo mtaji wake ulitokana na ‘boom’ wakati akisoma chuo kikuu!

Kwa sasa hana tena ndoto za kuajiriwa, zaidi ya yeye kuwaajiri vijana wenzake.

Leave a Comment