Mtangazaji wa @globaltvonline @zali_mapito amemtembelea Bi Sauda Faraji nyumbani kwake Paje Zanzibar anapoishi Sauda.
Kupitia mahojiano aliyofanya na mama huyo @zali_mapito pamoja na @imeldamtema wamefanya jitihada mbalimbali za kuweza kumpata mtoto wake huyo ambae amefichwa na aliyekuwa mke mwenzie baada ya mume wao kufariki.