×

JANUARI NGUMU KASEMA NANI? NJOO MERIDIANBET USHANGWEKE

Taarifa za kua mwezi Januari ni ngumu huko mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wanapinga vikali kauli hii, Kwani wanakuambia kwao ni shangwe tu Januari hii kutokana kwani mzigo upo wa kutosha.

Ni hivi kama unataka kujua Januari ni nyepesi bashiri mikeka yako na Meridianbet na ujjishindie mkwanja wa kutosha, Kwani mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wameendelea kumwaga Odds za kutosha kama ilivyo kawaida yao.

Usiku wa leo itanedendea michezo mbalimbali ya ligi kuu nchini Hispania ambayo imepewa ODDS KUBWA, Kupitia Odds hizo kubwa unaweza kushinda mkwanja kiurahisi zaidi na Meridianbet wakakuonesha namna Januari ilivyo nyepesi.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Hispania klabu ya Barcelona leo watashuka dimbani wakiwa ugenini kukipiga na klabu ya Las Palmas, Huku wakitafuta nafasi ya kwenda nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi hiyo baada ya Atletico Madrid kupoteza katika mchezo wa jana dhidi ya Girona.

Kipute kingine kikali kitapigwa pale katika dimba la Ramon Sanchez Pizjuan ambapo klabu ya Sevilla itakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Athletic Club moja ya vilabu vinavyofanya vizuri katika ligi hiyo msimu huu, Sevilla wao wametoka mchezo wao wa mwisho ambapo leo watahitaji kushinda ili kujikwmaua kutoka kwenye nafasi za chini.

Mchezo mwingine utakua kati ya klabu ya Osasuna ambao watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Almeria, Klabu ya Almeria mpaka sasa wanashika mkia katika ligi kuu nchini Hispania wakiwa na alama tano hivo kushinda mchezo huu inaweza kuwapa nguvu ya kutaka katika mkiani kwenye ligi hiyo. 

Ukiachana na ligi kuu nchini Hispania La Liga lakini leo pia kutakua na michezo mingine ambayo itapigwa na inaweza kuwapa watu mikwnaja na kuanza vizuri mwaka, Ambapo Juventus watashuka dimbani leo katika mchezo wa Coppa Italia kukipiga dhidi Salernitana, Huku Crystal Palace wakikipiga dhidi ya Everton katika mchezo wa raundi ya tatu wa michuano ya kombe la FA.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia https://a.meridianbet.co.tz/c/QARU7i na uweke mkeka wako.

Leave a Comment