×

Tigo Zantel Yadhamini Maonesho Ya Kibiashara Zanzibar

Mkurugenzi wa Kanda Tigo Zantel, Aziz Said Ali (kushoto) akimuelezea mfanyabiashara wa Mwani, Jaha Haji Khamis kuhusu huduma ya Mjasiriamali box katika maonesho ya kibiashara Zanzibar, ambapo Tigo Zantel ni Mdhamini Mkuu wa maonesho hayo.

Leave a Comment