×

Yanga Yamtoa kwa mkopo mshambuliaji wake Hafiz Konkoni

Hafiz Konkoni

Klabu ya Yanga SC imethibitisha kumtoa kwa mkopo mshambuliaji wake Hafiz Konkoni ambaye atajiunga na klabu ya Dogan Tûrk Birligi ya Cyprus.

Yanga Sc inatarajiwa kumtangaza mshambuliaji mpya atakayeziba nafasi ya nyota huyo raia wa Ghana.

USAJILI wa SIMBA: MCHEZAJI ALIYELETWA ANA BALAA!! BAMBO na ABBAS PIRA WAFICHUA SIRI..

Leave a Comment