×

Uchambuzi Wa Shaffih Dauda Sare Ya Tanzania Vs Zambia

Mtangazaji na mchambuzi maarufu wa soka, Shafii Dauda ametoa uchambuzi wake kufuatia Timu ya Taifa, Taifa Stars kutoa sare na Timu ya Taifa ya Zambia, huku akisisitiza kuwa bado Stars ina nafasi.

Leave a Comment