×

Exclusive Na Mwanamitindo Irada “Wamama Wa Mtaani Wanavaa Sana” – Video

Mwanamitindo na mbunifu mkubwa wa mavazi nchini, @iradastyletz amefunguka kuwa wanawake wanaotokea maeneo ya uswahili, ndiyo wanaoongoza kuvaa kila siku na wanatumia gharama, hivyo wakiamua kuvaa mavazi bora na mazuri kutoka kwake wanaweza kabisa.

Leave a Comment