Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amemjia mkurugenzi wa wilaya ya Kakola mkoani Shinyanga baada ya kushindwa kumpa majibu sahihi kuhusu pesa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya afya.
Aidha Makonda ametaka viongozi watumie vyema pesa zinazotolewa na serikali kwa ajili miradi ya serikali
Makonda ameyasema hayo Jan 27, 2024 alipokuwa akiendelea na ziara yake mkoani Shinyanga.