Mtaalamu wa mahusiano, Deo Sukambi amesema wanaume wasiojiamini, hutumia kufanya mapenzi kama njia ya kuwacontrol wanawake hususan wale wanaoonekana kuwa imara kuwazidi. Sukambi ameyasema hayo kupitia Kipindi cha Hald Talk kinachoendeshwa na mtumishi wa Mungu na mwandishi wa vitabu, Lilian Mwasha.