
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe za mwaka Mpya 2024 (Diplomatic Sherry Party) kwa Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa kwa ajili ya kusherehekea katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2023



