Mtaalamu wa mahusiano, Deo Sukambi amesema kuwa leo Februari 14, 2024 siku ya Valentine day baadhi ya watu huanza safari yao ya kuumizwa kihisia.
Sukambi anaendelea kuiambia Global Tv kuwa katika siku hiyo watu wengi huigiza kuwapenda wenza wao na maumivu huonekana siku chache baadae.
Sukambi ametoa ushauri kwa jamii kuwa watu wanapaswa kujipenda wenyewe kwanza pasipo kutarajia mapenzi ya dhati kutoka kwa mtu mwingine.
Sukambi ameyasema hayo kupitia Kipindi cha Hald Talk kinachoendeshwa na mtumishi wa Mungu na mwandishi wa vitabu, Lilian Mwasha.
https://globalpublishers.co.tz/hard-talk-deo-sukambi-afichua-wanandoa-kuishi-miaka-mingi-bila-tendo-wanawake-wamegeuka-wanaume/