×

Video: Kijana Afunguka Mazito, Apitia Maisha Magumu Hata Kula yake Imekuwa ya Shida

Global Tv imefanya mahojiano na officialvini2024 na kueleza namna alivyohaso kutoka mkoa wa Lindi mpaka jiji lenye hekaheka zake yaani Dar es Saalam.

Vini ameambia Global Tv kuwa anapitia maisha magumu hata kula yake inakuwa ya shida na mazingira anayoishi ni ya duni sana.

Vini ameendelea kuiambia Global Tv kuwa anahitaji kupata sapoti ya kimuziki ili aweze kutoka hapo alipo kwani anaamini kipaji anacho na anaahidi kutumia vyema fursa kwa yeyote atakayemsaidia.

Leave a Comment