×

Treni ya Umeme ya Kisasa (SGR) Yaanza Majaribio Dar hadi Mkoani Pwani

Treni ya Umeme ya Kisasa  (SGR) ikipita maeneo ya Pugu Jijini Dar es Salaam katika majaribio yake ya kawaida. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni hiyo ya SGR kutoka Mkoani Dar es Salaam hadi Mkoani Pwani na hivi karibuni itaendelea na majaribio hayo mpaka Mkoani Morogoro. Huduma rasmi za Usafiri huo zinatarajiwa kuanza Mwezi wa Julai, 2024.

Treni ya Umeme ya Kisasa (SGR) leo Februari 26, 2024 imepita maeneo ya Pugu Jijini Dar es Salaam katika majaribio yake ya kawaida. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni hiyo ya SGR kutoka Mkoani Dar es Salaam hadi Mkoani Pwani na hivi karibuni itaendelea na majaribio hayo mpaka Mkoani Morogoro. Huduma rasmi za Usafiri huo zinatarajiwa kuanza Mwezi wa Julai, 2024.

CARINA ANATIA HURUMA – “KAMA KUNA MTU NILIMKOSEA ANISAMEHE – MIMI ni BINADAMU NATESEKA SANA”…

Leave a Comment