



WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amempa pole Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi alipohani msiba wa baba yake ambaye ni Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, Machi 01, 2024 Mikocheni Jijini Dar es Salaam.