×

Rais Samia Amteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe akichukua nafasi ya Dkt. Francis K. Michael

Chongolo aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kabla ya kujiuzulu Novemba 2023

Leave a Comment