MWANA-MUZIKI ambaye alikuwa ni memba Yamoto Band kabla ya kusambaratika, Bakari Katuti ‘Beka Flavour’ ametoa video ya wimbo wake mpya wa Nakupenda.