×

Uteuzi Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Atenguliwa

Catherine Michael Mashalla.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Catherine Michael Mashalla katika nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

Leave a Comment