×

Al Ahly Watinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Mabingwa watetezi, Al Ahly wametinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa 3-0 dhidi ya Simba Sc  kwenye robo fainali.

FT: Al Ahly 🇪🇬 2-0 🇹🇿 Simba SC (Agg. 3-0)
⚽ El Solia 48’
⚽ Kahraba (P) 90+8’

Ndoto za mnyama kuishia walau nusu fainali ya CAFCL msimu huu zimefutika.

Timu zote za Tanzania zimesukumizwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya Yanga na Simba kuondoshwa.

Leave a Comment