Maelfu Waendelea Kujinyakulia Tiketi Za Tamasha La Hadhi Ambalo Diamond Atapaform
Global Publishers April 18, 2024 4,060 views 0 Comments
SHARE THIS:
Maelfu waendelea kujinyakulia tiketi za tamasha la vibe bites ambalo msanii mkali wa Bongo Fleva wa hapa nchini Diamoind Platniumz anatarajiwa kupaform.
Kupata tiketi ya tamasha la vibe bites, mteja wa bia ya Serengeti anatakiwa kununua bucket ya bia ya Serengeti lager au Serengeti lite kwenye baa yake.
#HadhiYaJuu #ProudlyTanzanian #BiteVibes
Matukio mbalimbali ya wanywaji wa bia za Serengeti walivyokuwa wakipatiwa tiketi za tamasha la hadhi la vibe bites linalotarajiwa kufanyika Aprili 27 mwaka huu kwenye Viwanja vya Posta jijini Dar ambapo mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platniumz atapaform.