Maadhimisho Ya Siku Ya Usalama Kazini, Tigo Yagawa Zawadi Kwa Wateja Wake
Global Publishers April 26, 2024 4,648 views 0 Comments
SHARE THIS:
Meneja Mauzo wa Tigo Mkoa wa Arusha, Ryami Fatala akimkabidhi zawadi ya simu mkazi wa Arusha, John Mtaka katika maadhimisho ya Siku ya Usalama Makazini yaliyofanyika Mjini Arusha.