×

Hemed: Dairekta Khalfani Ameacha Mke Ana Ujauzito WA Miezi 7, Wiki 2 Nyuma Tulipanga Mipango – Video


MWIGIZAJI wa filamu na msanii wa Bongo Fleva, Hemed Suleiman ‘Hemedy PhD’ amefunguka baada ya maziko ya rafiki yake wa karibu Muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania Director Khalfani Khalmandro kuwa kaacha  mke ana ujauzito wa miezi saba na mtoto mmoja huku akifunguka zaidi kuwa wiki mbili walipanga mipango ya kazi.

Director Khalmandro amefariki Dunia Mei 5, 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Leave a Comment