×

UEFA MAMBO NI MOTO SANA

Hayawi hayawi sasa yamekuwa leo nii ni moto wa kuotea mbali kabisa ambapo timu mbili zinagombania kucheza Fainali ya ligi ya mabingwa. Meridinabet wamekuwekea ODDS za kibabe sasa ingia na ubashiri.

Real Madrid baada ya kutawazwa kuwa mabingwa wa Hispania sasa nguvu zao wameelekeza kwenye Kombe hili ambalo wanataka kulichukua kwa mara ya 15 endapo watampiga Bayern Munchen kesho.

Mechi ya mwisho Bayern kuingia fainali na kuchukua UEFA ilikuwa 2019 huku kwa upande wa vijana wa Carlo Ancelloti ilikuwa ni mwaka 2022. Je hapo kesho nani kuibuka na ushindi pale Bernabeu ambapo mara ya mwisho walipokutana walito sare?.

Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya ushindi Real kwa ODDS ya 1.88 kwa 3.67. Wewe Beti yako unaiweka wapi kwenye hizi timu?. Je ni Harry Kane au Jude Bellingham kucheza fainali ya UEFA?

Ukiachana na mechi hizo ndugu mteja kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Leo hii majira ya saa 4:00 usiku PSG atakuwa na kibarua kizito cha kumkabili Borussia Dortmund ambaye mechi ya kwanza alishinda akiwa kwake kwa bao 1-0. Kila timu inahitaji ushindi hii leo na ambayo itachanga karata zake vizuri inaweza kufuzu Fainali.

Ikumbukwe PSG na Dortmund walikuwa kwenye kundi moja la Ligi ya mabingwa ambalo lilikuwa ni kundi F ambapo mechi ya kwanza vijana wa Luis Enrique walishinda wakiwa nyumbani mechi ya kwanza huku mechi ya pili walipokwenda Signal Iduna Park walitoa sare.

Lakini sasa hii ni mechi yao ya kulipa kisasi ambapo wanataka ushindi kwa hali na mali dhidi ya vijana wa Terzic ili wasonge mbele na kucheza Fainali yao ya pili kwenye ligi ya mabingwa. Meridianbet wamempa Paris nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi kwa ODDS ya 1.47 kwa 6.07. Beti Hapa.

Leave a Comment