Mwili wa marehemu Shufaa Kitwana umezikwa Mei 8, 2024 katika nyumba yake ya milele.
Taarifa za kifo chake zilisambaa katika mitandao ya kijamii kwamba mrembo Shufaa alifariki dunia nchini Uturuki.