Mwimbaji maarufu wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize leo Mei 15, 2024 amechia wimbo wake mpya wa Disconnect aliomshirikisha Marioo.