×

Viongozi, Wabunge wamiminika Kwenye Maonesho ya Utalii Kwenye Viwanja vya Bunge

Viongozi mbalimbali wakiwemo wabunge wameendelea kumiminika kwenye maonesho maalum yaliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii yaliyoanza kwenye viwanja vya Bunge Dodoma Mei 30, 2024.

Maonesho hayo yatakayoendelea mpaka Jumatatu yanajumuisha taasisi na wadau na maonesho ya wanyama hai wakiwemo simba, duma, tembo na wanyama wengine.

 

GAMBO AMCHANA DC MBELE ya MAKONDA – ”WASINICHOKONOE – AMESHINDWA – NIMEJITAHIDI KUMKWEPA”…

Leave a Comment