×

#Exclusive: Saida Karoli Afunguka Dhuluma Ya Pesa Iliyomuumiza – Video


MSANII mkongwe wa muziki wa asili, Saida Karoli amefanya mahojiano na Global Tv na kusema kuwa kipindi ambacho nyimbo zake zina fanya vizuri kilikuwa ni kipindi cha yeye kuwa tajiri kumiliki nyumba kali na vingine vingi lakini kutokana na kukosekana usimamizi mzuri wa kazi zake na zilizopelekea kuanguka.

Leave a Comment