×

Dkt. Nchimbi Asepa na Kijiji Arusha, Maelfu Wamiminika Kumsikiliza

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi ameweka historia katika Jiji la Arusha wakati akiingia katika Viwanja vya Kilombero jijini Arusha kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika siku ya pili ya ziara yake mkoani hapo na kupokelewa na maelfu ya mamia wa mkoa huo.

Dkt Nchimbi amewasili Arusha ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake kwenye mikoa mitano, akiambatana na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla pamoja na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (Suki) Rabia Hamid Abdallah.

Leave a Comment