Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Biashara katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea
Global Publishers June 5, 2024 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Biashara katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo June 5, 2024 pamoja na Viongozi mbalimbali wameshiriki Mkutano wa Biashara katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea.
Rais Samia akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika.Rais Samia akishiriki Mkutano wa Biashara.Rais Samia akiteta jambo na Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa wakati wa Mkutano wa Biashara.Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Tanzania na Jamhuri ya Korea ambao walihudhuria Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika, Westin Josun Jijini Seoul, tarehe 05 June, 2024