×

Dstv Wamtambulisha Diva Ndani Ya Tamthiliya Ya Dosari, Afunguka – Video


Mtangazaji Diva Gissele Malinzi au Diva The Bawse  ametambulishwa rasmi kwenye Familia ya Filamu ya DOSARI kama mmoja ya wahusika ndani ya Series hiyo inayorushwa kipitia @dstvtanzania_

Leave a Comment