Dar es Salaaam 7 Mei 2024: Mkesha mkubwa unaofanyika usiku huu kwenye Kanisa la Nabii Domonic maarufu Kiboko ya Wachawi umekusanya umati mkubwa wa watu muda mfupi kabla ya nabii huyo kupanda madhabauni.
Yafuatayo ni baadhi ya matukio yanayoendelea laivu.



Pastor Titii Ranel ndiye aliyelianzisha kabla ya Kiboko ya Wachawi kupanda madhabauni HABARI/PICHA : RICHARD BUKOS NA NEEMA ADRIAN GLOBAL PUBLISHERS