×

Mchezaji Mkongwe wa ligi ya Kikapu Jerry West Afariki

Mchezaji mkongwe wa ligi ya kikapu Marekani, Jerry West (86), amefariki dunia.

West alicheza mpira huo kwa miaka 14 na kucheza katika fainali 9 za NBA chini ya timu ya Lakers ya Los Angeles, na kushinda mara moja mwaka 1972.

West atakumbukwa kwa umahiri wake na zaidi kwa alama ya kudumu aliyoiacha kwenye nembo ya NBA ambayo iliundwa kwa kufuatilia picha yake.

#EXCLUSIVE na ZEE CUTE AJILIPUA – ”SITAKI KUOLEWA LABDA NIFOSIWE – MIMI SIYO MTU wa MAPENZI”…

Leave a Comment