
Ufaransa imechukua alama zote tatu kwa tabu saba mbele ya Austria katika dimba la Merkur Spiel-Arena (Düsseldorf) kwenye mchezo wa Kundi D wa EURO 2024. Mfungaji wa Ufaransa ni M. Wober 38’
Nahodha wa Ufaransa, Kylian Mbappé alishindwa kuendelea na mchezo dakika ya 90 baada kugongana na beki wa Austria hali iliyopelekea kuvuja damu puani.
MSIMAMO KUNDI D
🇳🇱 Uholanzi — Pts 3
🇫🇷 Ufaransa — Pts 3
🇵🇱 Poland — 0
🇦🇹 Austria — 0