×

Rais Samia Alivyowasili Afrika Kusini kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais mteule Cyril Ramaphosa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 18 Juni, 2024. Rais Samia anatarajia kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais mteule wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa tarehe 19 Juni, 2024.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini Afrika Kusini Juni 18, 2024. Rais Samia anatarajia kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais mteule wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa leo Juni 19, 2024.

Rais Samia akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Dkt. Grace Naledi Pandor pamoja na Thembi Nkadimeng Waziri wa Utawala na Ushirika na Masuala ya Jadi.
Rais Samia akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 18 Juni, 2024.
Rais Samia akisalimiana na Watanzania waishio Afrika Kusini.

Leave a Comment