×

Prince Dube Afunguka Kucheza Yanga, Atamba na Timu Job na Timu Kibwana


Mshambuliaji Prince Dube amefunguka kupitia Global TV kuwa msimu ujao 2024/5 atacheza katika Ligi Kuu Tanzania Bara japo hajasema zaidi ni klabu gani atakayotumikia.

Dube ameyasema hayo akiwa Morogoro katika mchezo wa Kirafiki dhidi ya Timu Job na Timu Kibwana.

Leave a Comment