×

RC Chalamila Afika Kariakoo, Atoa Kauli Nzito ”Nchi Haiwezi Kuendeshwa Kwa Migomo – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa kiwango cha ukwepaji kodi Kariakoo ni kikubwa kwa wafanyabiashara, RC Chalamila ameyasema hayo wakati alipofika kukagua maeneo ya Wafanyabiahara waliogoma kufungua maduka.

Aidha RC Chalamila amewataka Wafanyabiashara kufungua biashara zao huku serikali ikiendelea kufanyia kazi yale wanayoyataka, na kwa wakati huu ambao wamefunga maduka yao basi serikali itaendelea kulinda biashara zao.

Leave a Comment