Mwandishi mkongwe wa habari za michezo na mchambuzi, Saleh Ally @salehjembefacts amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa tetesi za Chama kuondoka Simba hata yeye anazisikia ila kiutaratibu mashabiki wanapaswa kungoja tamkoa rasmi la Klabu husika.