×

#Exclusive: Uke Wenza Ulivyomshinda Hanifa Apewa Talaka, Ajibu Bifu Lake Na Isha Mashauzi – Video


Wasanii wa muziki wa Taarab, Hanifa Jike la Chui @hanifajikelachui amefunguka kidogo kuhusu bifu lake na Isha Mashauzi na kukataa kusema sababu la bifu lao huku akidai kuwa yeye ana mambo yake na Isha ana mambo yake hivyo hakuna sehemu wanakutana.

Leave a Comment