×

Huku Hispania kule Ujerumani Kitaumana Leo

EURO 2024 inaendelea kunoga zaidi ambapo leo hii Robo Fainali za kwanza kupigwa katika viwanja viwili. Meridianbet wanasema pesa ipo huku suka jamvi lako na uanze kujikusanyia mpunga hapa.

Mabingwa wa EURO 2016, Portugal watapepetana dhidi ya France huku mechi hii ikitarajiwa kuwa na ushindani wa hali ya juu. Mechi hii imepewa ODDS 3.33 kwa 2.42 ambapo inatarajiwa kupigwa katika dimba la Volkspark.

Hizi hapa ni njia za Ureno mpaka kufika hatua hii ambapo alianza na Czechia kwa kumpasua kwa mabao 2-1, na mechi ya pili akamenyana dhidi ya Uturuki akashinda 3-0, na akamaliza kwa kupoteza dhidi ya Georgia kwa 2-0, halafu hatua ya 16 bora akapangiwa Slovenia na kupita kwa penati 3-0.

Robo fainali ya EURO 2024 leo kupigwa unashindwaje kupiga pesa sasa ukiwa na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet? Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Kwa upande wa Roberto Martinez wana wachezaji wakubwa wenye majina makubwa kama vile Cristiano Ronaldo, Bruno Fernades, Bernado Silva, Leao na wengine wengi ambao wanatarajiwa kuibeba timu yao leo.

Didier Deschamps na jopo lake walikuwa Kundi D ambapo walianza kwa kumfunga Austri 1-0 bao la kuijifunga, wakamenyana dhidi ya Uholanzi wakatoa sare ya bila kufungana 0-0, wakamaliza na Poland wakatoa sare ya 1-1.

Hatua ya 16 bora wanafainali hawa wa Kombe la Dunia wakapangwa na Ubelgiji wakashinda 1-0 goli la kujifunga na sasa wapo Robo Fainali kusaka ushindi kwenda hatua ninyinge. Je Kylian Mbappe, Thuram, Kante, Dembele na wengine kibao watafanya nini leo. Jisajili hapa.

Leo hii hii Spain wataumana dhidi ya Germany ambao ndio wenyeji wa michuano hii majira ya saa moja usiku ambapo wakali wa ODDS Tanzania wanampa nafasi ya kushinda Hispania kwa ODDS 2.69 kwa 2.79.

Hispania chini ya kocha mkuu Luis de la Fuente hizi ndio njia zilizopita mpaka kufika hatua hii Robo Fainali. Kwanza amekusanya pointi zote 9 akishinda mechi zote akimfunga Croatia 3-0, akamfumua Italy 1-0, na kisha akashinda mbele ya Albania 1-0.

Hatua ya 16 bora alipangwa na Georgia ambaye nae pia aliambulia kipondo kutokana na ubora wa wachezaji ambao wanao kama vile Yamal, Williams, Rodri, Morata na wengine ambao wanaipambani timu yao.

Wakati Ujerumani yeye alifungua michuano na Scotland kwa kufunga 5-1, mechi ya pili akashinda dhidi ya Hungary 2-0, akamaliza na Uswizi kwa sare ya 1-1 hatua ya makundi, na hatua ya 16 bora alipewa Denmark ambaye alimfunga kwa mabao 2-0.

Nagelsmann akiwa kama kocha mkuu amekiongoza kikosi kuwa na kiwango kinachoridhisha kwa jinsi ambavyo wanacheza lakini pia hii ndio robo fainali ambayo inasemekana itakuwa ya moto sana. Huku kuna Musiala, Leroy Sane, Rudiger, Toni Kroos,. Timu hizi mara ya mwisho kukutana walitoa sare.Je leo hii nani kushinda?. Beti sasa.

Leave a Comment