×

Yanga Yamtambulisha Mshambuliaji wa Azam, Prince Dube

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa aliyekuwa Mshambuliaji wa Azam, Prince Dube (27) raia wa Zimbabwe kama mchezaji mpya klabuni hapo kwa mkataba wa miaka miwili.

KAULI ya KWANZA ya BOSI MPYA wa TRA – ”MUNGU ATANIONGOZA – NITAZIDI MATARAJIO ya RAIS”

Leave a Comment