YANGA imethibitisha kukamilisha usajili wa mlinda mlango Khomeiny Aboubakar Khomeiny akitokea lhefu FC.
Kipa huyo mwenye umri wa miaka 25, anaungana na Djigui Diarra na Aboutwalib Mshery kwenye orodha ya makipa wa klabu hiyo.