×

Ruud van Nistelrooy Ajiunga Manchester United

Manchester United imethibitisha kuwa mshambuliaji wake wa zamani, Ruud van Nistelrooy (48) raia wa Uholanzi amejiunga na klabu hiyo kama kocha msaidizi sambamba na Rene Hake ambaye pia anatua kama kocha msaidizi.

Wawili hao wanajiunga kwa mkataba wa miaka miwili kuchukua mikoba ya Mitchell van der Gaag na Benni McCarthy ambao wameondoka klabuni hapo.

SPIKA TULIA AKUTANA na RAIS PUTIN MEZA MOJA – WAJADILI MAMBO MAZITO VITA UKRAINE

Leave a Comment