×

Nafasi za Kazi 22 Manispaa ya Kinondoni Zipo Hapa, Mwisho wa Maombi Julai 26

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Manispaa ya Kinondoni kuomba nafasi za kazi ziliyotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Leave a Comment