×

Aziz Ki: Nimebaki Yanga kwa Sababu Naipenda – Video

Mchezaji wa Yanga, Azizi Ki amesema aliamua kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo kwa sababu anaipenda Yanga.

Ki ameyasema hayo leo wakati timu hiyo ikiondoka nchini kuelekea Afrika Kusini ambako Yanga itaenda kumenyana na Kaizer Chiefs katika mchezo maalum wa kirafiki wa kimataifa, kuwania Toyota Cup.

Ameongeza kuwa anajisikia furaha kucheza timu moja na wachezaji wakali kama Clatous Chama na Prince Dube.

Leave a Comment