×

Mkurugenzi wa Wilaya ya Kyerwa Atangaza Nafasi za Kazi

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa amepokea kibali cha Ajira chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 na kibali cha ajira Mbadala chenye Kumb. Na. FA.228/613/01/B/012 cha tarehe 22 Aprili, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu OR – Utumishi. Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi ya nafasi mbalimbali kama zilivyoainishwa kwa kuzingatia sifa tajwa:-

Leave a Comment