×

Mzee Magoma Amshukia vikali Haji Manara, Akacheze Anapochezaga – Video


Mzee Magoma amemshukia vikali Haji Manara kwa madai kutoa kauli za kumkashifu ambapo amechimba mkwara kwamba akacheze anapochezaga kwa sababu anayajua mengi kumhusu Manara ambayo akiamua kuyaweka wazi, hapatakalika.

Leave a Comment