
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, amepokea kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu OR – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024. Hivyo anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kutuma maombi kwa kada moja (01) kama ilivyoanishwa kwa
kuzingatia sifa tajwa: –
