×

Nafasi za Kazi 45 Halmashauri ya Jiji la Dar Zipo Hapa, Mwisho wa Maombi Julai 27, 2024

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, kuomba nafasi za kazi ziliyotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Leave a Comment