
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/288/01/09 cha tarehe25/06/2024 pamoja na Kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb Na.FA.228/613/01/D/022 cha tarehe 21 Juni,2024 kwa mchanganuo ufuatao: –
MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III –NAFASI (5)
MWANDISHI MWENDESHA OFISI II -– NAFASI 4
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – NAFASI 4
DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 3