×

Elly Sasii Kuchezesha mechi ya Yanga na Simba Ngao ya Jamii Kesho

Mwamuzi Elly Sasii

Mwamuzi Elly Sasii amechaguliwa kuchezesha mechi ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Young Africans Sc dhidi ya Simba Sc itakayopigwa Agosti 8, 2024 katika dimba la Mkapa.

Aidha Mwamuzi Ahmed Arajiga atachezesha mechi ya Azam Fc dhidi ya Coastal Union utakaopigwa katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar Agosti 8, 2024.

MCHUNGAJI MASHIMO AIBUKA na MAZITO ya GSM – HARMONIZE – DIAMOND -“TAREHE 8 SIMBA WATAIFUNGA YANGA”..

Leave a Comment